Sunday, July 19, 2009

KALOLENI ILIPOTEMBELEWA NA WAGENI KUTOKA MAREKANI



Wanafunzi kutoka Chrysalis High School katika Jimbo la Montana wakiwa katika harakati za kubeba mchanga shughuli za ujenzi walizofanya.


Kazi na furaha, wanafunzi kutoka Marekani wakiwa wamebebana kwenye toroli kuchukua kokoto.


Bi. Kate wa Mondo Challenge (mwenye sketi nyekundu) ambaye alikuwa mratibu wa ziara hii akiwa na wanafunzi hao muda mfupi kabla hawajaanza kukoroga zege katika kazi ya ujenzi wa uzio wa shule ya Msingi Kaloleni kama inavyoonekana.
















Afisa Mtendaji wa Kata kama kiungo kikuu cha wageni hawa alijumuika nao katika kazi kila siku. Hapa pamoja na wanafunzi wawili kabla ya kazi kuanza.