Friday, March 19, 2010

MATUKIO ZAIDI MWEZI HUU

Mkulima akishangaa mfereji ambao uko kwenye ujenzi kitivo cha mpunga Liwali.
Fundi akitoa maelezo ya ujenzi eneo la chanzo cha mfereji liwali.

Wageni kutoka Canada wakihangaika kuchimba msingi Msasani sekondari ili kujenga maabara.



Thursday, March 18, 2010

UGENI WA CANADA NA UJENZI WA MIFEREJI KALOLENI



WAZUNGU KUTOKA CANADA WAANZISHA UJENZI WA MAABARA KALOLENI


Mh. Diwani Michael Mwita akiwapokea kikundi cha wageni kutoka Shule ya Danburton huko Canada ambao walishirikiana na wananchi wa Kaloleni katika kuchimba msingi wa maabara tatu katika shule ya sekondari ya Kata ya Msasani iliyopo kaloleni.

Mkuu wa shule, Bi. Emmy Mfuru akishiriki katika zoezi la uchimbaji msingi pamoja na wageni hao.

Hapa wageni hao wakichagua zana za kufanya kazi mara baada ya kuwasili Msasani sekondari.

Wednesday, March 10, 2010

UJENZI WA MFEREJI WA LIWALI - MRADI WA DADP

Afisa mtendaji Kata na wakulima wakiangalia maendeleo ya ujenzi wa mfereji msitu wa Njoro.
Mfereji unavyoonekana msituni



Mfereji wa mawe kwa ajili ya umwagiliaji Njoro ya Liwali unavyoonekana.


MFEREJI MWINGINE WA LIWALI - KALOLENI

Mfereji wa Liwali kupitia Mfuko wa DaDP umejengwa kupitia msitu wa Njoro.
Mfereji wa Liwali unavyoonekana katika hatua za mwisho za ujenzi.

Mkandarasi, bw. Mtui, akitoa maelezo ya ujenzi wa mfereji wa umwagiliaji kwenye chanzo "return wall" kwa wakulima na Afisa Mtendaji wa Kata.