KATA YA KALOLENI - MANISPAA YA MOSHI

Kata ya Kaloleni ni mojawapo ya Kata 21 za Halmashauri ya Manispaa ya Moshi ambayo ina mitaa miwili: Kaloleni na Kalimani. Ni kata ya pembezoni ambayo bado ni changa lakini iliyo na changamoto nyingi ambazo ni vyema kila mtu azitambue. Ukiipitia blog hii utaona mengi yanayofanyika na kutokea katika Kata hii hasa miradi na kazi mbalimbali za kiserikali zinazoendelea Kaloleni. Usiondoke bila kuweka maoni chini ya habari uliyosoma.

Saturday, May 15, 2010

WANANCHI KWENYE MKUTANO SERIKALI YA MTAA

Mzee mmoja akiteta jambo
Akina mama nao hawako nyuma

vijana nao wamo



Posted by IFAHAMU KALOLENI KWA UFUPI at 2:04 AM No comments:

UJENZI WA TAIFA NA WAGENI




Posted by IFAHAMU KALOLENI KWA UFUPI at 1:47 AM No comments:
Newer Posts Older Posts Home
Subscribe to: Posts (Atom)

KARIBU UJIONEE YANAYOTOKEA KATA YA KALOLENI

Serikali za mitaa ni Kata; yaani kila kitu kinaanzia chini kabisa. Hapa Kaloleni katika Manispaa ya Moshi mambo ndiyo yanavyofanyika. Karibu ujionee.

My Blog List

  • KALOLENI WARD - IN ENGLISH
    HERE IS A MORE MODERN KITCHEN
    11 years ago

My Blog List

  • PRIMARY SCHOOL - KALOLENI
    KALOLENI PRIMARY SCHOOL IN CONSTRUCTION
    16 years ago

PATA MAGAZETI

  • HabariLeo: Gwiji La Habari Tanzania | Maskani

UNAIJUA KATA YA KALOLENI?

IFAHAMU KALOLENI KWA UFUPI
MOSHI, KILIMANJARO, Tanzania
Kata ya Kaloleni inapatikana pembezoni mwa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi katika Mkoa wa Kilimanjaro. Ipo kilometa nne (4) kusini mashariki mwa mji wa Moshi. Kaskazini imepakana na Kata ya Njoro, kusini imepakana na Kata ya Mabogini na Mashariki imepakana na Msitu wa Rau na upande wa Magharibi imepakana na Kata ya Pasua. Kupitia mitaa yake miwili: KALIMANI na KALOLENI, Kata inajumuisha maeneo ya makazi ambayo yamepimwa kisheria pamoja na maeneo mengine ambayo wakazi wanaishi pasipopimwa yaani Kalimani na baadhi ya eneo la Kaloleni. Kata pia imezungukwa na dampo la taka zote za Manispaa upande wa mashariki. Ni kata yenye wakazi wapatao 5000 kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2002.
View my complete profile

YALIYOKWISHA AANDIKWA

  • ►  2013 (3)
    • ►  July (3)
  • ►  2012 (7)
    • ►  October (7)
  • ▼  2010 (17)
    • ►  October (3)
    • ▼  May (2)
      • WANANCHI KWENYE MKUTANO SERIKALI YA MTAA
      • UJENZI WA TAIFA NA WAGENI
    • ►  March (5)
    • ►  February (5)
    • ►  January (2)
  • ►  2009 (22)
    • ►  December (5)
    • ►  October (1)
    • ►  September (5)
    • ►  August (4)
    • ►  July (2)
    • ►  May (2)
    • ►  March (1)
    • ►  January (2)
  • ►  2008 (9)
    • ►  December (5)
    • ►  November (3)
    • ►  August (1)

HABARI MCHANGANYIKO

  • MICHUZI
    TADB, TWCC KUINUA WANAWAKE NA VIJANA KATIKA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI
    1 hour ago
  • Jikomboe
    Tawaran Game Open World Paling Real Hadir di Red Dead Redemption 2
    6 years ago
  • Daily News: Your Authoritative Newspaper | Home Page
  • BUNGE::
  • National Website of the United Republic of Tanzania
Travel theme. Powered by Blogger.