Monday, January 5, 2009

KARIBU MWAKA 2009 KALOLENI

Fungamwaka kwa Kata ya Kaloleni ilikuwa ni timu ya mpira wa miguu kunyakua kombe la Chifu Mariale na kushinda ng'ombe.
Picha kubwa ya kumbukumbu ya Chifu/Mangi Mariale

Ng'ombe akiwa amevikwa kitambaa chenye kuitangaza bia ya Kilimanjaro muda mfupi kabla ya kukabidhiwa washindi.


Huyu ndiye Afisa Mtendaji wa Kata ya Kaloleni




No comments: