Monday, May 25, 2009

MKUTANO WA ULINZI MSASANI ULIVYOKUWA

Wananchi wakifuatilia majadiliano ya kikao
Mjumbe Bw. Temba akiteta jambo na wananchi wenzake kidemokrasia


Mwananchi akiomba nafasi ya kuchangia


Akina mama nao walikuwepo; hapa wakiwa makini wakifuatilia yanayosemwa.



Kata ya Kaloleni iko katika hatua za awali za kuimarisha ulinzi wa sungusungu katika mitaa yake ya Kalimani na Kaloleni. Pia wananchi wa eneo la Msasani katika Mtaa wa Kaloleni wameamua kuanzisha juhudi hizo kwa kupanga mikakati ya kuanzisha doria ya sungusungu. Katika kikao chao na uongozi wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Kata, wananchi hao waliwapigia kura watu wanaowatuhumu kuwa ni waizi na wahalifu wa aina mbalimbali kama picha zinavyojionesha hapo juu.









1 comment:

emmanuel said...

nashukuru sana wakazi wa msasani na kalimani kwakuwa kama kitu kimoja katika kushughulikia ulinzi na usalama,shukrani za pekee zimfikie CHINGA na Mzee Michael Shekimfunta.kaka CHINGA naomba usikate tamaa tutafika.Nitakosa baraka kama nitashindwa kumshukuru kijana wetu EMMANUEL NGUMA kwa kushiriki na vijana wetu katika kuiendeleza kata yetu.