Sunday, August 2, 2009

MATUKIO KALOLENI JULY

Baada ya siku kadhaa ilifikia siku ya wageni kuondoka Kaloleni. Hapa Mr. Kenny akihutubia katika tafrija fupi iliyofanyika.
Wageni pamoja na walimu wa Kaloleni katika picha ya ukumbusho.

Afisa Mtendaji wa Kaloleni(miwani) katika kikao na wakulima wa mpunga wa Kaloleni, hapa wakijadiliana jambo.



Wakuu wa shule wawili wakijadiliana siku ya mwisho ya ziara ya wageni kutoka Marekani. Hapa ni Madam Marry wa Chrysalis School na Bi. Chuo wa Kaloleni Primary.



No comments: