Wednesday, September 16, 2009

Kikao cha Mtaa
Wakulima na diwani wao

Wakulima na diwani wao



Zahanati ikipauliwa



MAMBO YA KALOLENI

Mkutano wa Mtaa wa Kaloleni, chini ya Mwenyekiti wa Mtaa, Mzee Maulidi
Hawa ndio askari Kata ambao wanajaribu kuboresha hali Kaloleni


Tuesday, September 1, 2009

MAENDELEO YA UJENZI WA ZAHANATI

Zahanati ya Kata ya Kaloleni ikiwekwa fremu za madirisha.

Mh. Diwani akikagua ndani ya nyumba mpya ya walimu Msasani Secondari. Mbele ni mwandishi wa habari radio Free Africa Mwanza.

DIWANI NA WENYEVITI WA MITAA WATEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO KALOLENI


Mh. Diwani Michael Mwita akiwa na Kaimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Msasani wakikagua nyumba mpya ya walimu ambayo iko katika hatua za mwisho kwa ajili ya makazi ya walimu shuleni.