Kata ya Kaloleni ni mojawapo ya Kata 21 za Halmashauri ya Manispaa ya Moshi ambayo ina mitaa miwili: Kaloleni na Kalimani. Ni kata ya pembezoni ambayo bado ni changa lakini iliyo na changamoto nyingi ambazo ni vyema kila mtu azitambue. Ukiipitia blog hii utaona mengi yanayofanyika na kutokea katika Kata hii hasa miradi na kazi mbalimbali za kiserikali zinazoendelea Kaloleni. Usiondoke bila kuweka maoni chini ya habari uliyosoma.
Wednesday, September 16, 2009
MAMBO YA KALOLENI
Mkutano wa Mtaa wa Kaloleni, chini ya Mwenyekiti wa Mtaa, Mzee Maulidi Hawa ndio askari Kata ambao wanajaribu kuboresha hali Kaloleni
No comments:
Post a Comment