Tuesday, September 1, 2009

DIWANI NA WENYEVITI WA MITAA WATEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO KALOLENI


Mh. Diwani Michael Mwita akiwa na Kaimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Msasani wakikagua nyumba mpya ya walimu ambayo iko katika hatua za mwisho kwa ajili ya makazi ya walimu shuleni.

No comments: