Monday, January 25, 2010

MBUNGE WA MOSHI MJINI ATEMBELEA KALOLENI

Mh. Mbunge Ndesamburo akiondoka Ofisi ya Kata Kaloleni
Mh. Mbunge Ndesamburo akielekezwa kutoka katika Jengo la zahanati ya Kaloleni baada ya kulitembelea.


Mh. Mbunge wa Moshi Mjini, Ndesamburo, akitoka katika Zahanati ya Kaloleni baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi.

Mh. Mbunge Ndesamburo akipata maelekezo ya ujenzi kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi, Ezekiel Omar.




DIWANI KALOLENI ATEMBELEA WAKULIMA

Mh Diwani akiangalia wakulima shambani
Mh. Diwani alipotembelea nyumba mpya ya mwalimu Shule ya Sekondari Msasani.


Wakulima wa kikundi cha kutunza mazingira pamoja na washirika wao "Kilimanjaro Porters Society" wakimsikiliza mheshimiwa Diwani.

Mkulima mmoja akitoa hoja katika kikao na Mh. Diwani ( hayupo pichani)

Diwani wa Kata ya Kaloleni alitembelea mashamba ya mpunga katika skimu ya umwagiliaji ya Kaloleni.