Thursday, December 17, 2009

UJENZI WA MADARASA MSASANI SEKONDARI - KALOLENI WAENDELEA

Chumba kimoja cha darasa kimefikia hatua hii, hapa mafundi wanachakarika
Vyumba vingine vitatu vipo hatua ya msingi.

Mhandisi wa Manispaa ya Moshi akikagua ubora wa kazi.


Ubora wa kazi nimuhimu.




Mhandisi akiangalia nondo zilivyosukwa kabla ya kuruhusu kazi kuendelea.




WAJUMBE WA WDC BAADA YA UKAGUZI ZAHANATI


Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi akiwaongoza wajumbe kurejea Kikaoni baada ya wajumbe wa WDC Kaloleni kujionea maendeleo ya Kazi ya Ujenzi wa zahanati ya TASAF Kata Ya Kaloleni.

WDC YA KUFUNGA MWAKA YAKUTANA JANA

WAJUMBE WAKIMSIKILIZA MWENYEKITI (hayupo pichani)

Kikao kiliamia katika zahanati ya Kata kuona maendeleo ya kazi. Hapa Mwenyekiti wa kamati ya Ujene akiwaongoza wajumbe kuona kazi ilipofikia
Wajumbe wa WDC wakifuatilia maelezo ya Mwenyekiti wa kamati ya Ujenzi zahanati.


Meza Kuu, Katibu akitoa maelezo kwa wajumbe huku Mwenyekiti akifuatilia kwa karibu.




Tuesday, December 15, 2009

UJENZI WA ZAHANATI WAFIKIA PLASTA

Mafundi wakimalizia hatua ya plasta
Mafundi kazini plasta


Kazi ya kuchanganya zege


Monday, December 14, 2009

HALI YA UJENZI WA ZAHANATI YA KATA KALOLENI MWEZI WA NOVEMBER

sehemu ya nje
Kwa ndani tayari plasta imewekwa


Kwa ndani kulivyo