Kata ya Kaloleni ni mojawapo ya Kata 21 za Halmashauri ya Manispaa ya Moshi ambayo ina mitaa miwili: Kaloleni na Kalimani. Ni kata ya pembezoni ambayo bado ni changa lakini iliyo na changamoto nyingi ambazo ni vyema kila mtu azitambue. Ukiipitia blog hii utaona mengi yanayofanyika na kutokea katika Kata hii hasa miradi na kazi mbalimbali za kiserikali zinazoendelea Kaloleni. Usiondoke bila kuweka maoni chini ya habari uliyosoma.
Thursday, December 17, 2009
WAJUMBE WA WDC BAADA YA UKAGUZI ZAHANATI
Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi akiwaongoza wajumbe kurejea Kikaoni baada ya wajumbe wa WDC Kaloleni kujionea maendeleo ya Kazi ya Ujenzi wa zahanati ya TASAF Kata Ya Kaloleni.
No comments:
Post a Comment