Thursday, March 18, 2010

WAZUNGU KUTOKA CANADA WAANZISHA UJENZI WA MAABARA KALOLENI


Mh. Diwani Michael Mwita akiwapokea kikundi cha wageni kutoka Shule ya Danburton huko Canada ambao walishirikiana na wananchi wa Kaloleni katika kuchimba msingi wa maabara tatu katika shule ya sekondari ya Kata ya Msasani iliyopo kaloleni.

Mkuu wa shule, Bi. Emmy Mfuru akishiriki katika zoezi la uchimbaji msingi pamoja na wageni hao.

Hapa wageni hao wakichagua zana za kufanya kazi mara baada ya kuwasili Msasani sekondari.

No comments: