Kata ya Kaloleni ni mojawapo ya Kata 21 za Halmashauri ya Manispaa ya Moshi ambayo ina mitaa miwili: Kaloleni na Kalimani. Ni kata ya pembezoni ambayo bado ni changa lakini iliyo na changamoto nyingi ambazo ni vyema kila mtu azitambue. Ukiipitia blog hii utaona mengi yanayofanyika na kutokea katika Kata hii hasa miradi na kazi mbalimbali za kiserikali zinazoendelea Kaloleni. Usiondoke bila kuweka maoni chini ya habari uliyosoma.
Wednesday, March 10, 2010
UJENZI WA MFEREJI WA LIWALI - MRADI WA DADP
Afisa mtendaji Kata na wakulima wakiangalia maendeleo ya ujenzi wa mfereji msitu wa Njoro. Mfereji unavyoonekana msituni
Mfereji wa mawe kwa ajili ya umwagiliaji Njoro ya Liwali unavyoonekana.
No comments:
Post a Comment