Kata ya Kaloleni ni mojawapo ya Kata 21 za Halmashauri ya Manispaa ya Moshi ambayo ina mitaa miwili: Kaloleni na Kalimani. Ni kata ya pembezoni ambayo bado ni changa lakini iliyo na changamoto nyingi ambazo ni vyema kila mtu azitambue. Ukiipitia blog hii utaona mengi yanayofanyika na kutokea katika Kata hii hasa miradi na kazi mbalimbali za kiserikali zinazoendelea Kaloleni. Usiondoke bila kuweka maoni chini ya habari uliyosoma.
Wednesday, February 24, 2010
UKAGUZI WA MAZINGIRA YA CHANZO CHA MAJI NJORO YA GOA
Mkaguzi wa mazingira kutoka Manispaa ya Moshi akiandika alama za maoni yake juu ya chanzo cha maji cha asili cha Njoro ya Goa. Wakulima na wakaguzi wa mazingira wakijadiliana.
Wakaguzi wa mazingira wakiweka alama katika makabrasha yao.
No comments:
Post a Comment