Tuesday, October 30, 2012

JIKO LA SHULE LABORESHWA

Kupitia juhudi za kimashirikiano kati ya Shule hizi mbili, jiko la shule limeboreshwa. Kwa sasa Mpishi wa shule anapikia katika mazingira mazuri; jengo limeboreshwa, mfumo wa maji umeingizwa jikoni na jiko limeboreshwa kabisa.
Ujenzi ulianza mwezi wa Juni na umekamilika mwezi wa October. Ona jinsi ambavyo kazi hizi zimefanyika:

1 comment:

Unknown said...

HONGERA SANA KWA KUJENGA IMANI (TRUST) KWA NDUGU ZETU HAWA WANAOSAIDIA UBORESHAJI WA MIUNDO MBINU YETU YA ELIMU. KAZI UNAYOIFANYA INNOCENT NI KUBWA NA MUNGU NDIYE ATAKAYEKULIPA KWA YOTE MEMA UYATENDAYO.